ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Umekuja fashion ya kufuturisha
Wanaalikana matajiri tu
Yaani Rais anafutarisha labda Mawaziri tu na watu maarufu wakiwamo watu wa Imani zingine ambao hawafungi
Kuna watoto yatima,.wazee, na waliowahitaji hasa
Yaani anafuturisha wasio wahitaji
Dini inasemaje kuhusu kufuturisha wasio funga na matajiri
Au Bado mnahadili bomu ya Iran