kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Awamu ya Magufuli aliwaambia wateule wake nikikuteua usifanye sherehe maana umetwishwa mzigo. Yaani kama ukishindwa kuubeba anakutua wakati wowote. Tena alikua 0 tolerance vitendo vya ufisadi. Akasema ukila hela ya umma akijua utaitapika.
Awamu ya 6 ukiteuliwa uwaziri au teuzi yoyote unaweza kufanya pati kusherehekea. Mama anagawa ulaji na kasema mbele ya kamera.
Kawaambia wateule kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake mradi asivimbiwe.
Kwanza kaanza kuwahoji kama wanapata ulaji kwenye maeneo yao.
Tangu nchi hii kupata uhuru sijawahi kuona kauli kama hii toka kwa rais wa jamhuri. Yeye ni wa kwanza kuwauliza mawaziri kama wanapata ulaji na kutaka kila waziri ale kwa urefu wa kamba yake.
Sasa itabidi takukuru wajifunze kujua urefu wa kamba ya kila waziri na kila kigogo.😂
Ningekua nashaka kama nini hasa anamaanisha ila alipotoa ule mfano wa mkataba wa bandari kujenga meli 5 ndio ikawa wazi. Alisimamisha mkataba huo maana wahusika walipiga sana kiasi cha kuvimbiwa.
Ujenzi wa meli maziwani ulikua unafanywa na songoro marines kampuni ya kizalendo na kuonyesha uwezo wa taifa kujitegemea.
Sasa wameondolewa kazi zinapewa waturuki kuongeza urefu wa kamba kula. Mama ajue viwango vya kula hadi kuvimbiwa vinatofautiana kwa vigogo mbalimbali.
Mradi ameruhusu ulaji watapiga sana ngojeni tutaona maescrow na maepa mengi.
Nb: adm uzi wangu juzi ulitupwa kapuni baada muda mfupi kuchapishwa. ..tafadhali tekeleza uhuru wa kujieleza uliyotuhakikishia kwenye jf kufuatana na sheria ya nchi.