Awamu ya sita ukipata teuzi unaweza kufanya tafrija kusherehekea

Nikuteua nikulipe mshahara halafu utangaze mpinzani ameshinda?
 
Hali inaenda kuwa mbaya muda sio mrefu, kila mtu aliposhika ofisi ya umma ni mwendo wa kupiga fedha, ambao hawana fursa ya kupiga hawatakaa ofisini ni mwendo wa kuripoti kazini halafu kuingia kitaa kwenda kufanya deal zao binafsi.
Hakuna kitu kinakatisha tamaa kwa watumishi wa umma kama kusikia wakubwa huko wanapiga halafu eti yeye awe mzalendo afanye kazi, bora kwenda kitaa kupiga mishe zako.
 
Alafu utasikia mjinga mmoja anasema" sio lazima tumpende yeye bali tuipende nchi" unaanzaje kuipenda nchi wakati viongozi wako wanakuchefua.
Umechoma kabisa.
Eti uzipende chips wakati aliyekaanga kakausha sana.
 
Wanaoweza watusaidie kuondoa huu mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…