Awamu ya Tano haikubana kabisa matumizi zaidi ya kuyaongeza. Utanunuaje helikopta kusindikiza misafara?

Awamu ya Tano haikubana kabisa matumizi zaidi ya kuyaongeza. Utanunuaje helikopta kusindikiza misafara?

Hivi yule aliyesema kuwa nchi hii haiwezi kupata maendeleo bila yeye ni nani?
Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
 
Ule Wimbo wa ZEZETA uwaendee Washabiki wote wa Ibilisi.
 
Tuna matatizo ya Maji na Umeme na mfumuko wa Bei kwa asilimia 100, sijui unamsifu Mama Samia kwa kitu ngani ?
 
Back
Top Bottom