kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Awamu tano imeiua CCM mioyoni mwa wanachama nakubaki kwenye adhara. Chama Cha siasa ni Mali ya wanasiasa si Mali ya mwanasiasa.
CCM Zanzibar mmekataliwa hadharani kabisa wala haifichiki. Mgombea wenu hauziki, watu wamemchoka si wanaccm Wala wapinzani wamemchoka kutokana na historia yake.
Kwa nafasi alizokuwa ameshika alipaswa kufanya Jambo Zanzibar lakini hakuna alichofanya anaweza kusimama akajinadi nacho.
Kama hakufanya, Leo hii ndo atafanya? Lakini pia mpasuko ulizaliwa siku alipoteuliwa, hakupata kura za wazanzibar alipitishwa na bara kwa maelekezo.
Je, wakiofyekwa wanamuunga mkono?
Wekezeni kwa watu achaneni na dola