kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
Sina haja na nani anatawala nina haja na nani anatawala kwa ridhaa ya wananchi. hata Ulaya na Marekani hakuna chama kinachotawala milele litoke jua inyeshe mvua. Taifa linajiandaa kuhangaika na wakora wanaoiba kura. Taifa lazima lifike huko kwa kumfikisha mahakamani yeyote anaetuibia chochote kwa kutumia ridhaa tuliyompatia.mpumbavu mtumwa wa mbowe huna lolote kila mkiamka makufuli tumechoka na ubaya wote laana ya mungu iwashukieni wote mnaemsema marehemu makufuli tafuteni kazi za kufanya. mnajua mazuri aliyoyafanya makufuli hamuyaoni au nyie vipofu shibe mwana malevya. mnamchukua kwa sababu mbowe akuweza kuingia bungeni na kundi lake ndio hasira yenu mpaka mnamchukia sabaya yote kwa sababu alimuweza mbowe, mnambambikia kesi lakini anatoboa . hivi nyinyi sijui wachaga au chadema mnafikiri katiba mpya chadema watatawala nchi hiyo sauni mpaka yesu atakaporudi tena dunia