joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Hatuwezi kushindana na corpse, so far tumeshalipa $5B, pesa ambayo Kenya hata muuze Mombasa port hamuwezi kuipata.heheeee..hamna pesa za kumlipa mturuki...bwahahaaa..
Hahahahaha, ninajua imewauma kusikia Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Africa kuwa na wataalamu wa kujenga reli ya kisasa yenye UMEME. Ninyi endeleeni kufurahia wazungu kufingua ofisi zao hapo Nairobi.https://youtu.be/y08KiXsNr2cKwa hizi habari, hidden message no kuwa hata hiyo Morogoro ikifika no bahati [emoji23][emoji23][emoji23]. Hi awamu ya tano ni kiki tu.
huo upendo sijawahi kuuona katika kizazi hiki cha kibinafsi.Akili zako ni za enzi za akina Vasco Dagama aka akili za kitumwa.
Karne hii dunia ni kijiji kila nchi inatafuta urafiki na nchi nyingi kwa manufaa ya kizazi kijacho.
Hakuna siri kwenye technology dugu. Kinachofanyika ni supply chain tu ili kila nchi ipate.
Acha ujinga unatuaibisha.huo upendo sijawahi kuuona katika kizazi hiki cha kibinafsi.
Hata Rais wa India Modi alituambia anatupa soko kubwa la nafaka, alipoondoka tu nafaka zikagoma kunuliwa huko.
ngoja niwe Dagama
Nani amekuambia ni Upendo?, duniani kila kitu ni kukitafuta na Kujipanga, kwani hizi elimu zinapatikana wapi, vyuo vikuu kazi yake ni nini kama sio kufundisha wataalamu.huo upendo sijawahi kuuona katika kizazi hiki cha kibinafsi.
Hata Rais wa India Modi alituambia anatupa soko kubwa la nafaka, alipoondoka tu nafaka zikagoma kunuliwa huko.
ngoja niwe Dagama
kuchagua kuwa vasco da gama badala ya kufuata misisimko sio ujinga mkuu ni maamuzi.Acha ujinga unatuaibisha.
Unajiuliza maswali aliyojiuliza Mh Rais alipokuwa MIST. Inakuwaje chuo kinazalisha wahandisi lakni wanakodi tena waandisi tena wakandarasi kujenga jengo lao wakati wangeweza kujipa kama project ya chuo ili hao madogo wafanye kwa gharama nafuu na wawe wajuzi.Nani amekuambia ni Upendo?, duniani kila kitu ni kukitafuta na Kujipanga, kwani hizi elimu zinapatikana wapi, vyuo vikuu kazi yake ni nini kama sio kufundisha wataalamu.
Kujenga tuta la reli, hiyo ni kazi ya civil engineers, kuna vyuo vingi nchini vinafundisha, na kuna zaidi ya civil engineers sita wa kitanzania wapo pale pamoja na waturuki wakipewa ujuzi wa field work. Kwa kipindi cha miaka sita akifanya kazi na waturuki na Tayari walishapata PhD katika hilo eneo, kuna kitu gani kikubwa katika kutengeneza tuta la reli kama kuna mitambo ya kisasa?
hhhhhh!!!pesa za kumlipa mturuki aendelee na mradi hamna....bwahahaaaHatuwezi kushindana na corpse, so far tumeshalipa $5B, pesa ambayo Kenya hata muuze Mombasa port hamuwezi kuipata.
tatizo sio kuwa na wataalamu...ni hela ndio hamna...wuhuhuhuuuuu..Hahahahaha, ninajua imewauma kusikia Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Africa kuwa na wataalamu wa kujenga reli ya kisasa yenye UMEME. Ninyi endeleeni kufurahia wazungu kufingua ofisi zao hapo Nairobi.https://youtu.be/y08KiXsNr2c
Kikubwa ni ukosefu wa uongozi bora na kujiamini, hapo ndipo ambapo JPM anapowashinda viongozi wengi wa kiafrica. Ile ndege iliyitaka kwenda kupakwa rangi South Africa, nimeiona ikipaa angani vizuri kabisa, haina tatizo lolote na huwezi kutofautisha kwa macho ya kawaida na rangi ya hizi ndege mpwa zilizopakwa huko kiwandani, waliopiga kelele wametulia na hao hao ndio wanaosafiria hiyo ndege, hata hili watapiga kelele lakini reli ikikamilika wataisifia.Unajiuliza maswali aliyojiuliza Mh Rais alipokuwa MIST. Inakuwaje chuo kinazalisha wahandisi lakni wanakodi tena waandisi tena wakandarasi kujenga jengo lao wakati wangeweza kujipa kama project ya chuo ili hao madogo wafanye kwa gharama nafuu na wawe wajuzi.
wenda tunatatizo kubwa kuliko kushabikia
mbna unalonga sana braza...km pesa hamna hamna tu....reli ya 50% june..itazinduliwa november...bwahaaaa...pesa za ndani...hv sasa imekuwa mnataka kujenga wenyewe...Umeona mturuki akiiwacha reli porini? Kenya hata kilometer moja haiwezi jenga kwa hela zake..Mchina akidinda na pesa zake Rais anaingia depression anajifungia ikulu hawezi toka nje sababu ya aibu.
Ameshalipwa $3.2B,kwa ajili ya hizi phases mbili za kwanza, tutampa phase ya tatu ili wataalamu wetu waweze kupata uzoefu zaidi, baada ya hapo pesa ambayo ilipaswa tumlipe, tutanunilia "heavy machines"na tutaanza kujitegemea. Tanzania is a role model country.hhhhhh!!!pesa za kumlipa mturuki aendelee na mradi hamna....bwahahaaa
Hahahahaha, Hahahahaha, Tanzania sio Kenya, we buy and pay at our will, we never borrow small cash like failed state.tatizo sio kuwa na wataalamu...ni hela ndio hamna...wuhuhuhuuuuu..
kwhyo umeshakubali km pesa hamna...au wasemajeHahahahaha, Hahahahaha, Tanzania sio Kenya, we buy and pay at our will, we never borrow small cash like failed state.
Ameshalipwa $3.2B,kwa ajili ya hizi phases mbili za kwanza, tutampa phase ya tatu ili wataalamu wetu waweze kupata uzoefu zaidi, baada ya hapo pesa ambayo ilipaswa tumlipe, tutanunilia "heavy machines"na tutaanza kujitegemea. Tanzania is a role model country.
lkn pesa za kufanyia hayo yote hamna
Kipande chapili cha ke sgr (120km) kimejengwa sasa miaka tatu..ukienda site mchina hafanyi kazi anawatongoza wasichana wa maasaimbna unalonga sana braza...km pesa hamna hamna tu....reli ya 50% june..itazinduliwa november...bwahaaaa...pesa za ndani...hv sasa imekuwa mnataka kujenga wenyewe...
pesa hamna tu...
Achana na huyo mwehu anatafuta kiki.Kikubwa ni ukosefu wa uongozi bora na kujiamini, hapo ndipo ambapo JPM anapowashinda viongozi wengi wa kiafrica. Ile ndege iliyitaka kwenda kupakwa rangi South Africa, nimeiona ikipaa angani vizuri kabisa, haina tatizo lolote na huwezi kutofautisha kwa macho ya kawaida na rangi ya hizi ndege mpwa zilizopakwa huko kiwandani, waliopiga kelele wametulia na hao hao ndio wanaosafiria hiyo ndege, hata hili watapiga kelele lakini reli ikikamilika wataisifia.
Hivi kujenga rail nayo unafananisha na kuunda engine?Acheni hayo mawazo ya kijinga. Mnaweza mkawa mnafanya kazi na Waturuki ila wao wana teknolojia yao ambayo ni siri... Wachina wemechukua engine za ndege za General Electric na Rolls Royce. Wamebomoa kipande kimoja na kutengeneza kama hicho copy and paste. Ila wakija kutengeneza engine ina fail...
Kumbe mzungu kuna processes amefanya nyie mkijaribu kuiga mnakwama.
Hicho kipande kitachojengwa na Watanzania, mtashangaa ndio treni zitarudi kwenda kasi ya Km 70 kwa saa kwa kuwa wakienda zaidi ya hapo treni zitakuwa zinadondoka.
Mbona Kenya wametumia teknolojia ya Mchina na bado treni imeshindwa kuvuka km 120/ saa? Ni kwa sababu teknolojia ya Mchina iko chini. Sasa ya Mtanzania ndio itakuwa chini zaidi ya mchina na ndio hapo tutarudi tulipotoka kwenye mwendo wa kobe.
Acha kurahisisha mambo. We are way far behind to do that. Hii reli ya zamani ya kutembea km 70 kwa saa tumeshindwa KUKARABATI (Acha kuijenga from the scratch) mpaka tumempa mchina, sembuse hiyo ya kukimbia km 160 kwa saa? These people who think they can use local experts to build that railway must be daydreaming!Hivi kujenga rail nayo unafananisha na kuunda engine?
Rail ni kuwa na quality upper civil engineers na electrical, Turkey hatengenezi kitu yeye ni kuunga tu sababu vitu vyote kuanzia rail, mataruma, electric systems, network systems and other stuff ananunua toka kwa independent companies na wala sio kazi yote anafanya yeye 100% kuna subcontractors wapo kwenye specialisations mbali mbali.
Ndege yenyewe unayoitolea mfano mpaka itoke nje irushe watu imetengenezwa na independent companies 100 kidogo, japo inaitwa Airbus au Boeing.
Tanzanian Power πͺππTayari reli ya zamani inafanyiwa ukarabati na watanzania.
Vilevile tumetoa vijana na kwenda kutoa msaada uganda kwenye ukarabati wa reli yao kutoka port Bell kwenda Kampala.
Tumemewa fanyia bure.
Baada ya hapo nahisi tutatoa mkopo wa ujenzi wa Reli nchini Congo. Yangu macho tutaona.