Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Ndo nini hichoππ€Tarehe 24 usafi uje na redio yak ukipiga ziki kuubwaa
Unakuta mtu anawaponda wenye misambwana ila tukiwaacha mademu zetu bar tukienda washroom hawaachi kuombeleza namba πBonge la dongoπ, sema jamaa kwa Sasa ndio ana tembea na mtaa.
We njoo na hz harmonize zkNdo nini hichoππ€
Ahh kaeni nao tu, mi team slim curvyππ€.Unakuta mtu anawaponda wenye misambwana ila tukiwaacha mademu zetu bar tukienda washroom hawaachi kuombeleza namba π
Bora tumezeeka tu π€
Mbona haelewekii π, nije wapi ??.We njoo na hz harmonize zk
Njoo tu na nziki nkubw
Nime cheka Sana πππ ogopa sana kiumbe kilichowahi piga story na nyoka kama unampango wa kukuza pato lako
Hahaha.......fanya kumtambulisha kwa Babu yake hapa walau tuwape baraka za Wazee πAhh kaeni nao tu, mi team slim curvyππ€.
πYumo Humu ni π₯π₯
Aahh wapi ππ€£π, nyinyi wazee wa ma PDFπ€£.Hahaha.......fanya kumtambulisha kwa Babu yake hapa walau tuwape baraka za Wazee π
Sometimes we do love English figures
Kuweni na huruma na Wazee...mara hii kuna Pdf za Wazee tena ππββοΈπββοΈπββοΈAahh wapi ππ€£π, nyinyi wazee wa ma PDFπ€£.
π Google slim curvy Uzi one, hizi ni tofauti na slim nyingine π€
Wazee wa msata π, sema slim curvy ni π₯π₯π₯Kuweni na huruma na Wazee...mara hii kuna Pdf za Wazee tena ππββοΈπββοΈπββοΈ
Wananipinga bhanaπHawawezi kukuelewa mwaya, tuliopo penzini tunajua.
Sasa hivi nangβaa kama habibty kutoka Oman kwa amani na raha anazonipea kaka mzuri ππ«Άπ½
Wee amkeni mta Kojoa kitandaniπ€£πWananipinga bhanaπ
πππHakika tumezeeka mkuu, shkamoo zimezidi.
πππHawa watu wamenifanya nianze kupaka piko ili walau kupunguza hizi Mvi...
Kuhusu huu mkongojo ninaoutembelea nitawaambia kuwa nilipewa urithi wa kile kifimbo cha Mwl. Nyerere π
Mzee Ume Anza fixππ€£π€£Hawa watu wamenifanya nianze kupaka piko ili walau kupunguza hizi Mvi...
Kuhusu huu mkongojo ninaoutembelea nitawaambia kuwa nilipewa urithi wa kile kifimbo cha Mwl. Nyerere π
Uzee mbayaππ€£π€£πππ