Dharau✅Nyikbo Kali Sana, sema kasikikize labda "nisi ulizwe ya jux."
dharau ya ibrah
Au fall in love ya otile, dusuma ya otile
I love you so muchDharau✅
Mimi namkubali Nyanshski na nyimbo zake kiasi kwamba wasanii wengine wakiimba siwaelewi.
Nyanshiski ni Mtu mbad Sana, napenda flow na uimbaji wake.Dharau✅
Mimi namkubali Nyanshski na nyimbo zake kiasi kwamba wasanii wengine wakiimba siwaelewi.
Perfect Design na Lift me Up are my favoritesNyanshiski ni Mtu mbad Sana, napenda flow na uimbaji wake.
Kuna perfect match, malaika, MUngu pekee, hayawani, hapo tu, free hi ni 🔥 🔥🔥.
Collabo Kuna ile sauti Sol ft nyanshiski, inaa itwa shirt n sweet, na tuji aangalie.
Hivi yule binti wa kenye perfect design ndo mkewe ??. (Basi Wana endana).Perfect Design na Lift me Up are my favorites
Alikua ana mke mzungu waliachana kwasasa sijasikia kama ameoa tenaHivi yule binti wa kenye perfect design ndo mkewe ??. (Basi Wana endana).
Sema nyanshiski ana takiwa atafute label kubwa, maana ki East Africa yule ni international artist, sema haji shitukii tu.
vipi otile brown humsikilizi??
Nime check Ali oa Tena, na ndo yule wa kwenye perfect design.Otile brown❌
Sipendi artists wenye mambo mengi
Chuma Cha Moto, sema Ile dharau ya ibrah ni 🔥🔥Ni motoooo