baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Tumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali.
Hii ni mbaya sana sehemu ambayo walikua wanasemea wakipaamini ulikua ni upinzani chadema wakaja kungudua Chadema ilikua mamuluki sasa wananchi hawana pakusemea wamebaki watu wa kuiombea mabaya serikali.
Tumefikaje hapa ina maana akija adui wa nje tutamuweza kweli raia watatoa ushilikiano na kua wazalendo kwa nchi kama wanaiombea mabaya au watamsandia adui? Mnaweza kusema ni kelele za mitandaoni lakini watu wa mitandao ndo wanaishi mtaani hawaishi kwenye mitandao. Kama nchi kila mtu ajitafakari tumefikaje hapa na waliotufikisha wakina nani?
Huwezi kupuuza habari za Polepole na wanamtandao na kuhusu kifo cha Magu nchi imevimba watu wanachekeana kinafiki huku wanawindana. Ni mda wa Kujitafakari kama Taifa