Wananchi unataka wawe wazalendo lakini viongozi wao waendele kufanya ufisadi au sio?. Mimi nasema wakija maadui najiunga nao kuwaondoa maadui wa ccm.wazalendo kwa nchi kama wanaiombea mabaya au watamsandia adui?
😂😂KWA SASA RAIS NI TESHAAAAAA OVA
Wananchi unataka wawe wazalendo lakini viongozi wao waendele kufanya ufisadi au sio?. Mimi nasema wakija maadui najiunga nao kuwaondoa maadui wa ccm.
Yule boss wa TCRA ana kesi kubwa sana ya kujibu labda akimbie nchi, atawajibishwa vikali mno.Tumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali.
Hii ni mbaya sana sehemu ambayo walikua wanasemea wakipaamini ulikua ni upinzani chadema wakaja kungudua Chadema ilikua mamuluki sasa wananchi hawana pakusemea wamebaki watu wa kuiombea mabaya serikali.
Tumefikaje hapa ina maana akija adui wa nje tutamuweza kweli raia watatoa ushilikiano na kua wazalendo kwa nchi kama wanaiombea mabaya au watamsandia adui? Mnaweza kusema ni kelele za mitandaoni lakini watu wa mitandao ndo wanaishi mtaani hawaishi kwenye mitandao. Kama nchi kila mtu ajitafakari tumefikaje hapa na waliotufikisha wakina nani?
Huwezi kupuuza habari za Polepole na wanamtandao na kuhusu kifo cha Magu nchi imevimba watu wanachekeana kinafiki huku wanawindana. Ni mda wa Kujitafakari kama Taifa
Mafisadi watalia na kusaga menoTumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali.
Hii ni mbaya sana sehemu ambayo walikua wanasemea wakipaamini ulikua ni upinzani chadema wakaja kungudua Chadema ilikua mamuluki sasa wananchi hawana pakusemea wamebaki watu wa kuiombea mabaya serikali.
Tumefikaje hapa ina maana akija adui wa nje tutamuweza kweli raia watatoa ushilikiano na kua wazalendo kwa nchi kama wanaiombea mabaya au watamsandia adui? Mnaweza kusema ni kelele za mitandaoni lakini watu wa mitandao ndo wanaishi mtaani hawaishi kwenye mitandao. Kama nchi kila mtu ajitafakari tumefikaje hapa na waliotufikisha wakina nani?
Huwezi kupuuza habari za Polepole na wanamtandao na kuhusu kifo cha Magu nchi imevimba watu wanachekeana kinafiki huku wanawindana. Ni mda wa Kujitafakari kama Taifa
Uwe specific ni wanachi wa aina gani wanao penda hayo...usijumuishe watu wote! Wenye hizo agenda wanajulikana wazi kupitia vyama vyao na nyumba zao za ibada!Tumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali.
Hii ni mbaya sana sehemu ambayo walikua wanasemea wakipaamini ulikua ni upinzani chadema wakaja kungudua Chadema ilikua mamuluki sasa wananchi hawana pakusemea wamebaki watu wa kuiombea mabaya serikali.
Tumefikaje hapa ina maana akija adui wa nje tutamuweza kweli raia watatoa ushilikiano na kua wazalendo kwa nchi kama wanaiombea mabaya au watamsandia adui? Mnaweza kusema ni kelele za mitandaoni lakini watu wa mitandao ndo wanaishi mtaani hawaishi kwenye mitandao. Kama nchi kila mtu ajitafakari tumefikaje hapa na waliotufikisha wakina nani?
Huwezi kupuuza habari za Polepole na wanamtandao na kuhusu kifo cha Magu nchi imevimba watu wanachekeana kinafiki huku wanawindana. Ni mda wa Kujitafakari kama Taifa
Kuna dada mmoja nimekutana nae kwenye bus tunatoka mkoa mmoja kwenda Dar aisee naomba nimnukuuTumefikaje hapo raia kupenda mapinduzi au kufurahia habari ambazo sio nzuri kwa serikali na CCM kwa Ujumla wananchi wamekua ni watu wa kuiombea mabaya serikali.
Hii ni mbaya sana sehemu ambayo walikua wanasemea wakipaamini ulikua ni upinzani chadema wakaja kungudua Chadema ilikua mamuluki sasa wananchi hawana pakusemea wamebaki watu wa kuiombea mabaya serikali.
Tumefikaje hapa ina maana akija adui wa nje tutamuweza kweli raia watatoa ushilikiano na kua wazalendo kwa nchi kama wanaiombea mabaya au watamsandia adui? Mnaweza kusema ni kelele za mitandaoni lakini watu wa mitandao ndo wanaishi mtaani hawaishi kwenye mitandao. Kama nchi kila mtu ajitafakari tumefikaje hapa na waliotufikisha wakina nani?
Huwezi kupuuza habari za Polepole na wanamtandao na kuhusu kifo cha Magu nchi imevimba watu wanachekeana kinafiki huku wanawindana. Ni mda wa Kujitafakari kama Taifa
Wengi wanapenda Unafikiri kwa nini wanaogopa maandamano 29 ambayo yapo kikatiba ila wao uchaguzi ni suala la kikatiba wanasahau na maandamano yapo kikatibaUwe specific ni wanachi wa aina gani wanao penda hayo...usijumuishe watu wote! Wenye hizo agenda wanajulikana wazi kupitia vyama vyao na nyumba zao za ibada!