mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Kuna kero ya maji sana na Dawasco hawasemi chochote hakuna taarifa rasmi wala maelezo. Kuna namna watendaji wa chini wa serikalini wanafanya kazi kimazoea hii hali iliisha kipindi cha Hayati Magu lakini naona imerudi kwa kasi ya ajabu. Iweje Dawasco wakate maji ijumaa na Jmosi ?
Yaani kiufupi Maeneo ya Mbezi, Kimara hadi Ubungo wanatoa maji siku ya Jtatu na Jnne , Jtano wanakata wanafungua Alhamisi, Ijumaa na Jmosi wanakata. Jpili ni hati hati ama wafungue ama wasifungue. Wananchi tupewe ratiba rasmi ieleweke ili tukae kwa tahadhari pia.