Mtuambie ukweli tuna maji kiasi gani tujiandae kisaikolojia!
Miaka 60+ plus bado tunaongelea mambo ya kumtua 'mama' ndoo, aroo CCM mnasehemu yenu mahususi kule kwa shetani wanamsemaga (kama yupo kweli).
Your browser is not able to display this video.
Aweso amesema amepokea maelekezo kutoka kwa Rais Samia akisema ni marufuku hasa kwa watendaji wa huduma ya maji kuwa ni marufuku kwa wananchi wa Mwanga, Same kukatiwa maji vipindi vya sikukuu pamoja na weekend, waache wananchi wainjoy huduma ya maji safi!
Your browser is not able to display this video.
Kuua soo Rais Samia amekuja kusema maji yatakuwa yanapatikana kila siku, eti hivyo ndivyo alivyoambiwa kama haitakuwa hivyo aambiwe ili ashughulike na Waziri! Sasa Aweso Wizara ya Maji ni Rais gani aliyekupa maelekezo wananchi wasikatiwe maji siku za sikukuu na weekend wakati Rais kaambiwa maji yanatoka 24/7?
Serikalini wanaofanya kazi vizuri ni wachache sana, tena walio katika nafasi za utendaji. Wengi wamebaki na uchawa na kumtaja taja mama kila sehemu pamoja na kuvaa makofia yenye jina lake na picha yake.

Kuua soo Rais Samia amekuja kusema maji yatakuwa yanapatikana kila siku, eti hivyo ndivyo alivyoambiwa kama haitakuwa hivyo aambiwe ili ashughulike na Waziri! Sasa Aweso @Wizara ya Maji ni Rais gani aliyekupa maelekezo wananchi wasikatiwe maji siku za sikukuu na weekend wakati Rais kaambiwa maji yanatoka 24/7?