Awesu Awesu ni mashine hajaitwa timu ya Taifa ila Feitoto kaitwa. Kuna shida pale Taifa Stars

huyu kocha morocco tumwangalie vizuri. anashida ya ku chagua kikosi. Fei tito ni nuksi timu ya Taifa. this is known.

next timu tunamwomba awesu awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA mda
Anafuata/anausoma upepo kwa kutaka kuweka mizania sawa bila kujua anaharibu.Tumpe muda kwanza ajionee.
 
huyu kocha morocco tumwangalie vizuri. anashida ya ku chagua kikosi. Fei tito ni nuksi timu ya Taifa. this is known.

next timu tunamwomba awesu awesu. Achana na Fei toto. International games ANAPOTEZA mda
Awesu bado sana ni mchezaji wa timu za madaraja ya kati uko wakina fountain gate au tabora united, uchezaji wake bado ni WA kitoto sana
 
Back
Top Bottom