Awilo Longomba Vs Koffi Olomide nani alikuwa zaidi?

Awilo Longomba Vs Koffi Olomide nani alikuwa zaidi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
awilo_longomba.jpg
images
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
haraka sana nakuomba umuombe radhi MM,papaa na Didi stone,quadra koraman na sisi mashabiki wake kwa kosa hili la kumfananisha na Albert!

peugeot na Buggat hazifanani japo zote gari!
 
Unafananisha mlima na kichuguu!Unamfahamu vizuri Antoine au umesikiliza wimbo mmoja ndo unamfananisha na mpiga ngoma?labda ungemuweka kundi moja na Wazekwa,JB,Papa Wemba,Emmanuel Ngiama Makanda aka werrason ungepata mpambanowa nguvu
 
hapo ni kwa uliowataja. felix nzekwa tu ndio level ya awilo mpiga ngoma wa zamani wa Loketo na Sokous Star
 
hapo ni kwa uliowataja. felix nzekwa tu ndio level ya awilo mpiga ngoma wa zamani wa Loketo na Sokous Star

Inaelekea humfahamu Wazekwa na haufuatilii muziki wa DRC,Felix ndo Mwl wa Muziki wa MM na swaga na vionjo vya Mopao ni copy na paste kutoka kwa Wazekwa.Tafuta na sikiliza wimbo unaitwa sponsor wa Wazekwa utaelewa nazungumzia nn
 
hapo ni kwa uliowataja. felix nzekwa tu ndio level ya awilo mpiga ngoma wa zamani wa Loketo na Sokous Star

Wazekwa ni kielelezo mkuu!!!MM na hao wengine wote wanafunzi tu kwake!hayuko kwenye ''levels'' huyu mkuu!
 
kofii ana nyimbo sana afu zote taamu ila awilo mmmh umekosea kulinganisha bana aaa ile style ya kucheza huku unang'ata kidole siwezi kuiacha maisha
 
Back
Top Bottom