AY akiri kumiliki nyumba Marekani

dah hili ni tatizo kwetu waafrica baada tuwekeze nyumbani kwetu ili tukuze nchi yetu unaenda kumiliki nyumba marekani kwa siungi mkono ni ujinga kwetu na ni dharau pia,akisha kufa tunamludisha tz ili tumzike kweli africa inasikitisha
 
Hii picha aliipost tangu july huko, mawasiliano ya dada Sheila hayo hebu cheki nae, halafu ni California sio LA, AY bado hajapatikana jitihada zinaendelea,View attachment 950542View attachment 950544View attachment 950545
Huyu jamaa atawasumbua sana.
Jitahidini mpate hiyo physical address ya Nyumba ya AY.
Mpaka sasa sijaona uajabu au uhater wa jamaa.
Sanasana anaongea anachokiamini na anachokifahamu,pia hakuna jambo la uongo aliloongea.
Pia inaonesha anaufahamu mkubwa sana na maisha ya USA,tofauti na wengi ambao wanaongea tu.
Nilichokugundua huyu jamaa sio mtu wa kukubali kila anachokisikia kama Watanzania wengi tulivyo.
Pia sio mnafiki,nyeusi anaiita nyeusi na nyeupe anaiita nyeupe,kwa Mtanzania maisha bila unafiki hayaendi ndio maana jamaa anaonekana mtu wa ajabu.
 
Yako iko wapi dada? Acha wivu ni sumu utakufa
 
Ay kaongopa,wewe ndo mkweli!case closed!umefurahi sasa?
 
Mtahangaika sana ila ni ukweli usio na chenga AY amenunua nyumba L.A California! Amepata wapi pesa? Huo ni wivu wa kike coz yeye mwenyewe ndio anajua
 
Ngoja Trump amsikie, American Embassy mkuje huku kuna illegal aliens

Nani amekwambia ni Illegal allien?Mke wake ana uraia pacha[Dual Citizenship]kati ya Rwanda na U.S.A.So AY baada ya kumuoa huyo demu ilibidi amuombee visa ya ndoa (spouse greencard]ya kuishi marekani permanently.Kwa maana hiyo A.Y ni mkazi wa kudumu wa Marekani.Sasa atapata haki zote kama raia wa Marekani isipokuwa kugombea nafasi za kisiasa au kupata nyadhifa kubwa serikalini.Ndio maana amesema siku zijazo atahamia marekani mazima.

Jamaa anajicho la mbali.Yupo kimkakati zaidi.
 
Mtahangaika sana ila ni ukweli usio na chenga AY amenunua nyumba L.A California! Amepata wapi pesa? Huo ni wivu wa kike coz yeye mwenyewe ndio anajua
Ahahaaah.
Kama ni ukweli usio na chenga watu wasingekua na maswali.
 
Jaribu kusoma mtiririko wa mjadala kabla ya kucomment maana unaweza uliza jambo ambalo limeshatolewa ufafanuzi.

Hiyo ishu ya Iyunga amekili alikosea ni Ifunda Tech na kasoma na rafiki yake.
Kwa hiyo ulitaka nisome comments zote ndo nianze kucoment .??
Sidhani kama uko sahihi kwani wakati naanza kusoma hii thread kwenye reply za mwanzo mwanzo ndo nilikuta kadanganya hivyo and bad enough sisi wengine hatupendwi kudanganywa .Na ndio maana nikasema ninachokijua bila kujua replies za mbele walisahihisha pia .
Kama mtumiaji mzuri wa JF hope hata wewe ushawahi experience kitu kama iko. So you better be cool and take a pill boss.
 
We nae unachekesha kweli, sasa nani ampe address AY yupo humu? mfateni alipo awape hiyo address sasa, mmekazana kadanganya ajabu ukweli wenu hamuuweki, hebu acha kunichekesha mie.


Eti huyu jamaa atawasumbua sana,lol
jamaa gani AY?? maana ndio anasumbua akili zenu mpaka mnapata majazba na kuanza kuchambua kila kitu chake ilihali hamumjui ndewe wala sikio.

Ishi maisha yako bro, ukifatilia ya mwenzio utalala mlango wazi, mjini kulala na njaa umependa na sio kila mishe uiweke wazi.
 
Ahahaaah!!!
Nafikiri tunachekeshana aisee!
Ila ni wewe uliyesema jitihada zinafanyika za kumtafuta AY.
Au hizo jitihada zinazofanyika ni za namna gani?
 
Ahahaaah!!!
Nafikiri tunachekeshana aisee!
Ila ni wewe uliyesema jitihada zinafanyika za kumtafuta AY.
Au hizo jitihada zinazofanyika ni za namna gani?
Lol, mwanaume kusubiri mwanaume mwenzio akutajie mali zake nao ni umama...

Hebu fata ushauri wangu ule lil bro.
 
Hii picha aliipost tangu july huko, mawasiliano ya dada Sheila hayo hebu cheki nae, halafu ni California sio LA, AY bado hajapatikana jitihada zinaendelea,View attachment 950542View attachment 950544View attachment 950545
Hapa unasema AY hajapatikana,jitihada zinaendelea.
Alafu unamshangaa mtu anayekuuliza kuhusu physical address ya nyumba,wakati ni wewe mwenyewe umesema unafanya jitihada za kumtafuta AY.
Kwangu AY kuwa na nyumba Marekani wala sio big deal.
Nimevutiwa na hii convo yenu na mtu anayetaka uthibitisho,so najaribu kufuatilia nione mtaishia wapi.
Ndio maana nimekuambia wewe unayesema jitihada za kumtafuta AY zinafanyika,basi kweli zifanyike hiyo physical address ya nyumba ya AY ipatikane.
Wewe ndio unayebishania hili jambo,sio mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…