AY akiri kumiliki nyumba Marekani

Hujui unachoongea ww
 
Unaishi Kwenye Chumba Cha Kupanga Mwananyamala Kisiwani Umetoka Kugombana Na Mwenye Nyumba Kuhusu Kodi, Unaingia Jf Unakutana Na Thread Ya Ay Amenunua Nyumba Marekani Lazima Upagawe
Hahahahahahaha nimecheka sana
 


Hivi MYA aliletwa na kina Kusaga, je OMARION, Jayz na Beyonce je au hao sio wasanii wa USA?
 
AY bado yupo bongo mzee hana nyumba Marekani wala Gongo la Mboto, Ay fix sana
 
AY bado yupo bongo mzee hana nyumba Marekani wala Gongo la Mboto, Ay fix sana

Ay ashukuru sana hela za tigo za kesi... angekuwa kama daz baba asingepata kesi na tigo na kulipwa.. msando mwana fa na ay maisha ya raha wamepewa na tigo
 
Nipongeze jitihada hizi. Kamshinda mpaka Shishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…