stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Wewe ni me au ke?Mimi natafuta mwaka wa saba still bado nina mingine kama mitano mbele
PhDhivi huo uchumba alikua anasomea au miaka yote..khaa ila wanawake tuna mapito mno!
Hiyo inaitwa concubinageupuuzi mtupu. miaka 8 wanabanduana tu. huyo mwanamke ana moyo kudumu kwenye huo uchumba sugu
AISEEEEE LAITI WAKE ZETU WANGEONA TUNAVYO COMMENT KWA WAKE ZA WATU HAKIKA WANGETAMANI KUJINYONGA...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi huo uchumba alikua anasomea au miaka yote..khaa ila wanawake tuna mapito mno!
hahahaha kuna wengine miezi 6 tuu wanaanza oooh mbona sikuelewi,nini hatma ya maisha yetu..hahahahMiaka 8???
Walikuwa wanasomea udaktari?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]C ndo mana nauliza 8yrs wanashangaa kuna wtu wana uchumba wa umri wa MTU mzma[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] toka ujana hdi wamekuwa wahenga!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahahah hivi ikitoka PhD yafuata nini?
we huyu jamaa namsitiri tu ila ana mengi mazito!! hahah acha tu ipite..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapito yapi tena bibie, kwani si walisubiri wote, au kuna mmoja alikua mchepukaji.
Hahahahahaaahahahaha kuna wengine miezi 6 tuu wanaanza oooh mbona sikuelewi,nini hatma ya maisha yetu..hahahah
Cheki mwanamke wa shoka amevumilia miaka 8 na alikuwa tayari kuongeza miaka 3...hahaha
[emoji15] [emoji15] [emoji15]we huyu jamaa namsitiri tu ila ana mengi mazito!! hahah acha tu ipite..
Ohooo kamuulize Salama story za mshkaji wake atakupa![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe nae ana yake, huyu kijana namwona ametulia sana.
Aisee, basi sawa.Ohooo kamuulize Salama story za mshkaji wake atakupa!
We ndo waleee wa ndoa za mikataba n io haraka yako...mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
12Mbona CIO mingi hebu kwnye kujua uchumba wa master j na shaa unamiaka mingapi atuambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]