AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

AY amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy aliyeishi nae kwa miaka nane

MIAKA 8? si mtoto yupo shule ya msingi hapo?
 
Miaka 8???

Walikuwa wanasomea udaktari?
hahahaha kuna wengine miezi 6 tuu wanaanza oooh mbona sikuelewi,nini hatma ya maisha yetu..hahahah
Cheki mwanamke wa shoka amevumilia miaka 8 na alikuwa tayari kuongeza miaka 3...hahaha
 
C ndo mana nauliza 8yrs wanashangaa kuna wtu wana uchumba wa umri wa MTU mzma[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] toka ujana hdi wamekuwa wahenga!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo mambo hayajaanza Leo, Yakobo alipata mke wa kwanza baada ya kufanya kazi kwa mkwewe miaka 7, (Bible). Sema saivi tunamodify tu.
 
hahahaha kuna wengine miezi 6 tuu wanaanza oooh mbona sikuelewi,nini hatma ya maisha yetu..hahahah
Cheki mwanamke wa shoka amevumilia miaka 8 na alikuwa tayari kuongeza miaka 3...hahaha
Hahahahahaaa

Miaka 8

Pyeeee

Ikifika 3 tu walipaswa kuweka kikao cha kujadili hatma....

La aeleweke au la akubali kuchapiwa
 
Miaka nane????? alikuwa ana bip kwanza au???

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mwezi tu inatosha ss miaka 8 yote ya nn

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
mpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
We ndo waleee wa ndoa za mikataba n io haraka yako...

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom