Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
Sio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwa
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Miaka 8???
Walikuwa wanasomea udaktari?
Hujaelewa nn mkuu msome vzr tulia mbona inaeleweka anamaanisha nn[emoji41] [emoji41]Mkuu umeandika nn sasa...hizo namba hizo...duu..hesabu ni nzuri sana wee [emoji3][emoji3]
At remmy...anaitwa Rehema..haha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata dalili hawana afu wanashangaa 8yrs [emoji57] [emoji57] [emoji57]12
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Umeshaolewa? Kama bado twende pmmpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Hujaelewa nn mkuu msome vzr tulia mbona inaeleweka anamaanisha nn[emoji41] [emoji41]
Yaani nikiona post yako huwa naangalia mifukoni kama amana yangu bado ipo.Duh!!!
-Ndumilakuwili-
Sasa kama amesha ishi naye miaka 8 pete ya uchumba ya nini,hapo kinachotakiwa ni kuoa tu hiyo stage ya pete ya uchumba wameshaivuka tayari,au mie ndio sielewi...
Mkuu c booking ni mkopompaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Walikuwa wanatafuta PHD ya hayo mahusiano mkuuhivi huo uchumba alikua anasomea au miaka yote..khaa ila wanawake tuna mapito mno!
Naona ndoa kwa vijana zitatamalaki ....Wana watoto wangapi kwa miaka nane hiyo?
Nini kinachowapa ugumu....hao tayari wanandoa..ila tu kubariki ilikua bado.Hahahahahaaa
Miaka 8
Pyeeee
Ikifika 3 tu walipaswa kuweka kikao cha kujadili hatma....
La aeleweke au la akubali kuchapiwa
Jitahid kuwa mvumilivumpaka wamefanana Khaaa miaka 8.... mimi booking mwisho miaka mi3 kama huna sababu za msingi jikatae..
chaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Wahenga walisema "haraka haraka haina baraka"Hahahaha
ziwepo sababu za msingiJitahid kuwa mvumilivu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu c booking ni mkopo
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
badoUmeshaolewa? Kama bado twende pm
miaka mi3 unanimega tu bila kjjitambulisha ,na huna sababu za msingi????We ndo waleee wa ndoa za mikataba n io haraka yako...
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app