Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
Sio.mingi kwa umri wa huyu dada maana kwa alivyo sidhani kama amezidi 27 yrs so ukitoa hiyo 8 utakuta 21 ndio alimkamata so wala hakuna la.kushtuka hapo. Maama AY ni mkubwa
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Mkuu umeandika nn sasa...hizo namba hizo...duu..hesabu ni nzuri sana wee [emoji3][emoji3]