AY amuweka wazi mchumba wake

AY amuweka wazi mchumba wake

Nyerere yupi unaemuongelea hapa


Hivi kumbe unene ni mambo safi? kwa hio watu wembamba kama akina mohamed dewji nyerere na Obama mambo yao Magumu? Je @maxence?
 
Huyo hapo chini ndiye mchumba wa AY na ana asili ya Yemen na visiwa vya Shelisheli. Hapo ilikuwa Jumapili iliyopita Club Bilicanas. Amesema katika harusi yake hatachangisha michango kama baadhi ya wasanii au watu wanavyofanya.

View attachment 122777
Good couple, African style, wish I could see her back! Ha ha ha I'm kidding, hiyo ni hatua nzuri mzee wa "Hip hop Commercial" we got u on this.
 
mdada amevaa kawaida kapendeza mwenyewe na uzuri aliojaaliwa ndo amenoga balaa......
 
Figure hizi ndo ugonjwa wang,yaani awe mweupe au mweusi
 
Mbona FA hanenepi au ana stress?
 
kiongozi inaonekana haupo update na hizi mambo! Mapenzi yaliisha zamani pengine wakati diamond hata tandale hajulikani.
Hapan bwana yule tulimwacha tukihofia isije ikawa pandikizi la kina Kenyata ,Museveni na Kagame!
 
Jamani nami nataka nimuweke wangu mmuone alivyo,au kwa vile mi sio maarufu siruhusiwi eti!!!!!
 
JF kila jambo lishazungumzwa kumbe huyu aliyetambulishwa leo ni remix.
 
Back
Top Bottom