Hivi kumbe unene ni mambo safi? kwa hio watu wembamba kama akina mohamed dewji nyerere na Obama mambo yao Magumu? Je @maxence?
Good couple, African style, wish I could see her back! Ha ha ha I'm kidding, hiyo ni hatua nzuri mzee wa "Hip hop Commercial" we got u on this.Huyo hapo chini ndiye mchumba wa AY na ana asili ya Yemen na visiwa vya Shelisheli. Hapo ilikuwa Jumapili iliyopita Club Bilicanas. Amesema katika harusi yake hatachangisha michango kama baadhi ya wasanii au watu wanavyofanya.
View attachment 122777
mdada amevaa kawaida kapendeza mwenyewe na uzuri aliojaaliwa ndo amenoga balaa......
mbona mmefanana sana?
Hapan bwana yule tulimwacha tukihofia isije ikawa pandikizi la kina Kenyata ,Museveni na Kagame!kiongozi inaonekana haupo update na hizi mambo! Mapenzi yaliisha zamani pengine wakati diamond hata tandale hajulikani.
Acha masihara..hivi tumefanana wapi?
Serious umefanana naye
Ana wangapi?ni mcute.........
DoMwingine Huyu?