Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Angekuwa na access ya kulala na kuamka nae for 6 months tu asingepata hata nguvu ya kumuoa. Tuchunguze wanawake tunaotaka kuwaoa kwa kuwaweka kwenye probation period!Demu mkali vile kumaliza nae miaka mitano kwenye ndoa ujue una Mungu.
Mwanamke analala na kuamkia kwao utamjuaje kwako anakuja once every weekend on her best behaviours ila kumbe ni kamalaya mbaya mbovu, kavivu hata kufua chupi yake hawezi, hakana time hata kutoa papuchi kila ukitaka ni mtiti,kabishi!