Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwa akili yako haiwezekani baba kutoka mbeya na mama akatoka Rwanda??Mbeya na Rwanda wapi na Wapi?
Hivi huko Rwanda hamna mahali wanaita Mbeya?Haiwezekani mbeya mbali sana na Rwanda
but, poor batoks' structureWacha we! Wamarangu ndio wanyarwanda wa Tz
Nimecheka sana tena kwa dharau ...Haiwezekani mbeya mbali sana na Rwanda
Mama yakeMzazi gani wa AY anatokea Rwanda??
DuuuhHivi huko Rwanda hamna mahali wanaita Mbeya?
Fuba unalo???naanza msako wa mke *****
Mama yake ana asili hiyoMzazi gani wa AY anatokea Rwanda??
Ok ..umeeleweka mkuuMama yake ana asili hiyo
Typo wengi MkuuNimebaki mimi tu,ngoja 2017 nivute jiko.
Ney huwa anawatarget watu flan hivi wenye show off hawez kumgusa Ambwene anamrespectBora yake katupia mapema Make NEY WA MITEGO angemchana muda si mrefu.
but, poor batoks' structure
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ila kaka zetu mnatukatisha tamaa. Kama mmeshaanza kuhamia na nchi jirani sisi nani atatuoa jamani? Embu tuoneeni huruma dada zenu.
Daaah! We jamaa boya sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haiwezekani mbeya mbali sana na Rwanda