AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa

Ila kaka zetu mnatukatisha tamaa. Kama mmeshaanza kuhamia na nchi jirani sisi nani atatuoa jamani? Embu tuoneeni huruma dada zenu.
Tatizo mnajianika sana insta
 
Nimegundua haya maisha ni fuba tu.... vingine vyote mnwembwe.
Mtoto kama huyu sio wa kumlisha ugali ndondo.
 
Kumbe wanyarwanda dili eeh?
basi mi nna demu wangu Myarwanda nnampango wa kumpiga chini, dah
 
Kumbe wanyarwanda dili eeh?
basi mi nna demu wangu Myarwanda nnampango wa kumpiga chini, dah
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…