Kwangu mimi 'Asante' huwa hainichoshi ile, moja kati ya nyimbo Kali saaaana za AmbweneItafute mkuu Ay ft marco chali -party zone!
Kwangu mimi ile ni best video kati ya zote za AY
hahahahahaHiyo ya watu mie ninayo yangu yakisukuma
Basi mie nipo tofauti na waohahahahaha
"kuna watu huwa wanasema kuna vitu wanawake wanaweza wakaweka visivyo vyao lakini si miguu au kucha na ikiwezekana haiweki kabisa."
Atakuwa kapigiwa pande na Alfa mshindi wa tusker project fame toka RwandaKwahiyo kwa akili yako haiwezekani baba kutoka mbeya na mama akatoka Rwanda??
Hamna Mnyaru mwny uso mpana na pua kubwa kama ay angalia hata meno ya ay n makubwa mkubwa wanyaru madogo Kama panyaYeye mwenyewe Ay ana asili ya huko Rwanda so amerud kwao
Mnyakyusa huyuHamna Mnyaru mwny uso mpana na pua kubwa kama ay angalia hata meno ya ay n makubwa mkubwa wanyaru madogo Kama panya
Wanakimbia mashauzi ya dada zetuHivi kwanini hawa wasanii wanaojifanya nyimbo zao zinavuka boda huwa hawataki kabisa kuwaoa dada zetu wa hapahapa nyumbani ?? Kuna siri gani hapa ambayo imejificha nyuma ya pazia ??
Kwahiyo unataka kuliambia jukwaa kuwa huo mguu kwenye avator ni wako??Basi mie nipo tofauti na wao
Amani alikua na personality poa sanaKilichobaki ni Rwanda tu basi
Acha kukariri,hauongelei Wanyarwanda bali watutsi?umewahi waona wahutu?Ay amechanganya damu sijakuambia Mnyarwanda full bali mzazi wake mmoja ana asili ya hukoHamna Mnyaru mwny uso mpana na pua kubwa kama ay angalia hata meno ya ay n makubwa mkubwa wanyaru madogo Kama panya