AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa

AY amuweka wazi mke wake mtarajiwa

Hivi kwanini hawa wasanii wanaojifanya nyimbo zao zinavuka boda huwa hawataki kabisa kuwaoa dada zetu wa hapahapa nyumbani ?? Kuna siri gani hapa ambayo imejificha nyuma ya pazia ??
 
Wanakimbia mashauzi ya dada zetu
 
Hivi kwanini hawa wasanii wanaojifanya nyimbo zao zinavuka boda huwa hawataki kabisa kuwaoa dada zetu wa hapahapa nyumbani ?? Kuna siri gani hapa ambayo imejificha nyuma ya pazia ??
Hahaha.. Dada zetu hawana jipya
 
Hamna Mnyaru mwny uso mpana na pua kubwa kama ay angalia hata meno ya ay n makubwa mkubwa wanyaru madogo Kama panya
Acha kukariri,hauongelei Wanyarwanda bali watutsi?umewahi waona wahutu?Ay amechanganya damu sijakuambia Mnyarwanda full bali mzazi wake mmoja ana asili ya huko
 
Back
Top Bottom