Asanteni kwa hiyo ni mtu mwenyewe kuuliza na kutafuta chuo na si vyote ni dhahabu.Kutoka stage moja kwenda nyingine chuo kinatakiwa kitimize masharti na viwango fulani, na huwa kuna muda ukipita ndio kinaweza fungwa. Mfano Provisional Registration ndio unapanda na kupata Full Registration, tokea hapo ndio ukitimiza masharti na viwango chuo kinakuwa accredited. Hivyo kwa IMTU kipo hatua nzuri, japo kina umri mkubwa kiasi kilipaswa kiwe kimeshakuwa accredited.
wajinga ndio waliwao....watz wameshaozea kulizwa......bado nipo anasema graduate wanafanya kazi nzuri.....ndio kipimo chake....ngoja naanza kusoma posts zake tangu ajiunge nipime IQ yake...
mods naomba mbadilishe heading iwe.....Ay arudi shule,kujiunga na chuo fake?
Jamaa ana chumvi kinoma. Hajasoma UD anasikia tu nae ankuja kutoa hoja. Mlimani watu wanakaa juu ya miti kusoma? Si kweli,hata mambo ya kusikilizia lecture madirishani hayapo.
Mie choka kabisa sielewi, IMTU nayo sio accredited! so mbona mpaka Masters wanatoa!??
KIU? sasa mbona serikali haieleweki, kwanini havifungiwi?
Mie IIT kijana wangu alienda na Form 4 maths amefeli walimwambia anaanzia Certificate ambayo ni miezi 6 nadhani, ndo unaingia diploma 1 yr, then Advance dip 1 yrs.
Nadhani hawa wame take into consideration watu wengi wanataka kujiajiri zaidi kuliko cheti, pia hizo diploma, unapewa cheti then advance cheti kisha 1 yr unamalizia degree - cheti ni kukuwezesha mtu kupata kazi wakati unasoma. haya ni maoni yangu lakini kama anavyosema Buswelu mie nimefanya kazi na mtu wa IFM na wa IIT, wa IFM tumemshindwa kabisa bora hata mie yaani hawezi kazi nyingi tu hawezi kabisa haelewi, sijui ni case ya 2 people hivyo samahani kama nakosea hapa.
Mama Joe,Mie nimeona kuandika mengi siwezi...ila kwa kweli IFM wanapata kazi uku kwenye serikari kwa kuwa tu ni chuo wanacho kitambua...lakini kwenye kazi hawa wahindi wa IIT,Learn IT na NewHorizon wako sawa jamani wanafunzi wao...Watu walianza kazi wana miezi minne tu kwenye certificate tayari washaanza kufanya mambo mtaani.Sri lanka kama mchangiaji alivyo sema hapo juu sio kila chuo akika credited....India nao ni wazuri sana kwenye IT na bussness..hata kwenye udaktali...Malaysia pita..indonesia..harafu ni rahisi kwenda....ndio maana watanzania huenda kule...sio kama Uk na kwingineko.
Unajua sasa hivi Tz inabidi tubadilike, maana hizi Form 6 watu wanatafuta credit wee lakini wezetu anaweza kwenda kuanza certificate ya kitu kingine na mwisho akaendelea degree yake.Mama Joe,Mie nimeona kuandika mengi siwezi...ila kwa kweli IFM wanapata kazi uku kwenye serikari kwa kuwa tu ni chuo wanacho kitambua...lakini kwenye kazi hawa wahindi wa IIT,Learn IT na NewHorizon wako sawa jamani wanafunzi wao...Watu walianza kazi wana miezi minne tu kwenye certificate tayari washaanza kufanya mambo mtaani.Sri lanka kama mchangiaji alivyo sema hapo juu sio kila chuo akika credited....India nao ni wazuri sana kwenye IT na bussness..hata kwenye udaktali...Malaysia pita..indonesia..harafu ni rahisi kwenda....ndio maana watanzania huenda kule...sio kama Uk na kwingineko.
siku hizi ukitaka kugombana na watu waambie kuhusu chuo walichopitia hata kama ni kibovu watatetea saaana, si unakumbuka wale wa sua walivyo mshukia kipanya alivyo wachora?
Asante sana Yo yo, siku hizi vyuo vya mtaani vimezidi na sio hivyo tu siku hizi usanii umezidi kwemye elimu hasa ya juu. mimi siku moja nilipata e mail kutoka majuu eti wanatangaza possibility ya kupata cheti cha degree yoyote uitakayo ndani ya mwaka mmoja, na zaidi eti hata ukitaka bila kuattend chuoni kwenyewe. ndiyo najua kuna distance learning, lakini sasa mmh!
Hata mimi nilishapata email ad wananambia hata kama sina bachelor degree naweza nikapewa Bachelor na MBA kwa muda wa miaka mitatu. Eti wanafanya two in one ili uwe na cutting edge kwenye soko la ajira.
au"Good News!
Interested to obtain Bachelors', Masters', MBA's, Doctorate & Ph.D. degrees
available in your field in 2 weeks time?
It's available now...
Call Us and get yours today
1-270-913-8215
Our Education office has someone available 24 hours a day, 7 Days a week
Why waiting?
1-270-913-8215"
Subject: no more money problems, get a degree in 2 weeks
Obtain a prosperous future, money-earning power and the prestige that comes with having the career position youve always dreamed of Diplomas are from prestigious non-accredited universities based on your present knowledge and life experience.
No required tests, classes, books or examinations. Bachelors, Masters, MBAs, Doctorate & Ph.D. Degrees available in your field. Confidentiality Assured!
Call Now To Receive Your Diploma Within 2 Weeks 206-309-0336
Mwalimu Kichuguu,
Juzi jamaa yangu (tunaheshimiana sana) ananiambia eti ana MBA..nikamuuliza ya wapi? akaniambia eti ya chuo kimoja "humu mjini" lakini kina affiliation na Princeton! Nikamwambia Princeton unaijua wewe? akasema hapana..ila walimu wao ndo wanatutungia maswali na kuyatuma! Sasa jamani kama siyo tragedy ni nini hii? harafu hivi vyuo vingi especially dunia ya nne kama kwetu..vinaomba affiliation na some colleges..then wanatumia majina ya hivyo vyuo kutuibia.
Ndo maana nasema watu mshughulishe ubongo! Uliza google. Kama unaweza kuja JF..weka maswali usaidiwe..Harafu hivi vyuo utavijua tuu wanapenda kutumia neno "international" kabla ya jina la degree..mbongo akisikia international business..anajua atafanya kazi hata wall street!
ni sawa tuseme wachaga wanajua biashara.....mkuu haipingiki india wako juu kwa IT,business na fani za kitabibu.....sidhani kamaa kuna nchi barani africa na nyingi ulaya unaweza kulinganisha development ya IT n india.....hta majuu mkuu tunaona n kusikia kule silicon vllley wameja a wahindi na wachina.....na ni majuu kule.....Harafu mkubwa..hivi hii kauli ya kusema eti India ni wazuri kwa IT au Malaysia ni wazuri kwa udaktari mnalinganisha na wapi????? Naomba jibu.
mkuu kwani quality ya elimu bora wewe unaipima kwa fee kuwa juu? au? kwa mujibu wako rafiki yako kasema fee ni $700 ambayo ni chini ya udsm na vyuo vingi vya tz so ina maana quality ya elimu tz iko juu mara dufu zaidi ya india au malaysia,sio? ulizia hapo learn It wanalimwa shilingi ngapi?btw elimu bora haipo UK,USA au canada.....kw sababu tu fee yao ni ghaliJuzi ndugu yangu mmoja akaniomba ushauri anataka apeleke mtoto India kusoma degree ya IT..nikamwambia ndugu yangu..mwambie kijana aende kwenye mtandao/British embassy/US embassy au kokote anakojua atafute information alinganishe bei/quality/na nk..then aje mfanye uamuzi..jamaa aliniambiaje unajua eti ameshaambiwa na rafiki yake wa ofisini kwamba karo India ni cheap sana $$700 kwa mwaka! iNFACT kijana yuko Uhindini anakula shule..
mkuu tafuta data za wahindi kukimbilia majuu....pia angalia je kimbilio kubw majuu ni undergraduate au post.....wamarekani wako china na south korea kwa tarifa yako wanalishwa shule ya IT.....ulizia mtu alieko Seoul atakuambia....alafu ujue kukimbiliaa majuu wengi wanafataa pay kama beijing,Soel au newdelhi wangewalipa vizuri wasingekuja majuuuHakuna anayedespise elimu za watu hapa..lakini ukweli huko India, China nk..wanahangaika kama sisi kwenda huko magharibi kuitafuta "quality education"