Mie choka kabisa sielewi, IMTU nayo sio accredited! so mbona mpaka Masters wanatoa!??
KIU? sasa mbona serikali haieleweki, kwanini havifungiwi?
Mie IIT kijana wangu alienda na Form 4 maths amefeli walimwambia anaanzia Certificate ambayo ni miezi 6 nadhani, ndo unaingia diploma 1 yr, then Advance dip 1 yrs.
Nadhani hawa wame take into consideration watu wengi wanataka kujiajiri zaidi kuliko cheti, pia hizo diploma, unapewa cheti then advance cheti kisha 1 yr unamalizia degree - cheti ni kukuwezesha mtu kupata kazi wakati unasoma. haya ni maoni yangu lakini kama anavyosema Buswelu mie nimefanya kazi na mtu wa IFM na wa IIT, wa IFM tumemshindwa kabisa bora hata mie yaani hawezi kazi nyingi tu hawezi kabisa haelewi, sijui ni case ya 2 people hivyo samahani kama nakosea hapa.