AY, Diamond, Harmonize na Dj D-Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani

Sijakuelewa Dada ..?
hizo tuzo uliona sehemu diamond au ay anspromote apigiwe kulaa hiyo walio shinda ni kama vile diamond kashindwa kuchukua tuzo ya killi music award na akachukua tuzo ya imani fm au times fm yaan hiyo tuzo ni ndogo
 
Chuki na akili hizi ndogo ndo tatizo la humu jukwaani, hata kuandika ni shida ...

Sio kulaa ni kura
 
Kweli wanastahili vioo.Hahaha Hahaha
 
hizo tuzo uliona sehemu diamond au ay anspromote apigiwe kulaa hiyo walio shinda ni kama vile diamond kashindwa kuchukua tuzo ya killi music award na akachukua tuzo ya imani fm au times fm yaan hiyo tuzo ni ndogo
Bila shaka na wewe unajiita kuwa unaufahamu muziki,si ndio ............ Mshindi wa hiyo tuzo aliyopata DIAMOND anachukua $ 50,000 je, hizo takataka ulizozitolea mfano zinafiti kuwa mfano hapo ...... ??
 
Kuna mtu kaleta uzi umu eti kafurahi wabongo kutochukua zile za MTV MAMA hakipata habari hizi nadhani atabanwa na tumbo la kuarisha

Acha uongo hizo tuzo za uongo bongo hakuna msanii wa maana wote wehu
 
Bila shaka na wewe unajiita kuwa unaufahamu muziki,si ndio ............ Mshindi wa hiyo tuzo aliyopata DIAMOND anachukua $ 50,000 je, hizo takataka ulizozitolea mfano zinafiti kuwa mfano hapo ...... ??
kati ya watu wanne wewe mmojawapo
 
Bila shaka na wewe unajiita kuwa unaufahamu muziki,si ndio ............ Mshindi wa hiyo tuzo aliyopata DIAMOND anachukua $ 50,000 je, hizo takataka ulizozitolea mfano zinafiti kuwa mfano hapo ...... ??
Mkuu haya mambo ya kusema mshindi wa tuzo anapewa hela mnapotosha watu, legend AY amesha clear utata, amesema ni tuzo za kilimanjaro pekee ndio zinazotoa mkwanja kwa mshindi wa tuzo, kwa tuzo zingine hakuna mkwanja ispokuwa kupitia hiyo tuzo msanii inamuongezea hadhi na gharama za kufanya show
 
Mkuu mimi kuongea nawewe ni kujishushia hadhi yangu tu,ila nakupa home work. Trump kasema wewe ni NYANI, unatakiwa uendelee kutawaliwa je wewe unaonaje ......??
 
Mkuu mimi kuongea nawewe ni kujishushia hadhi yangu tu,ila nakupa home work. Triump kasema wewe ni NYANI, unatakiwa uendelee kutawaliwa je wewe unaonaje ......??

Triump ndo nani??
 
Mkuu mimi kuongea nawewe ni kujishushia hadhi yangu tu,ila nakupa home work. Triump kasema wewe ni NYANI, unatakiwa uendelee kutawaliwa je wewe unaonaje ......??
Duhhh kwahiyo ndo unakwepa kwa mtindo huo, me nilijua utakuja na proof kuwa kweli bro Simba anakula huo mkwanja hatimae unalala yombo bila ata kutoa proof, tatizo lenu mnafkli bado tupo zamani kipindi kile mnajiongelea tu na watu wana amini, yani umekaa tu ukaona ngoja nitaje dollar 50000 acha kutufanya si wajinga kijana

Nakupa mfano, nazani unajua duniani hakuna tuzo kubwa km oscar ya Hollywood na grammy, ila kwa taarifa yako ata washindi wa hizo tuzo waga hawapewi mshiko, ispokuwa kwenye tuzo za oscar mshindi anaongezewa mshahara kwakuwa kwa wenzetu waigizaji ukisajiliwa Hollywood unakuwa unapokea mshahara haijalishi haujatoa movie mpya miaka mingapi, so wanachofanya ni kumuongezea mshahara yule mshindi kwakuwa hadhi yake imepanda

Tukija kwenye grammy pia hakuna mshiko kwa mshindi alafu ulete uboya wako hapa eti anakula dollar 50000 kwenye hizo tuzo zinazoandaliwa na washkaji zake mapromota ili kujipigia mpunga, sometimes mahaba yasizidi bro hadi kusingizia vitu kwani ukisema ukweli tu unapungukiwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…