samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Sijakuelewa Dada ..?hizo walizochukua mm ndio najua leo hizo tuzo za mchangani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa Dada ..?hizo walizochukua mm ndio najua leo hizo tuzo za mchangani
hizo tuzo uliona sehemu diamond au ay anspromote apigiwe kulaa hiyo walio shinda ni kama vile diamond kashindwa kuchukua tuzo ya killi music award na akachukua tuzo ya imani fm au times fm yaan hiyo tuzo ni ndogoSijakuelewa Dada ..?
Chuki na akili hizi ndogo ndo tatizo la humu jukwaani, hata kuandika ni shida ...hizo tuzo uliona sehemu diamond au ay anspromote apigiwe kulaa hiyo walio shinda ni kama vile diamond kashindwa kuchukua tuzo ya killi music award na akachukua tuzo ya imani fm au times fm yaan hiyo tuzo ni ndogo
TECNO siyo wa kumlinganisha na harmonizer jaman..!! Tecno level nyingine.!! Kwa sasa bado harmonizer hajamfkia tecno labda kwa badaeTatizo unamuona tekno miles Mungu wako, mbona dogo harmonize yupo fresh tu
Bila shaka na wewe unajiita kuwa unaufahamu muziki,si ndio ............ Mshindi wa hiyo tuzo aliyopata DIAMOND anachukua $ 50,000 je, hizo takataka ulizozitolea mfano zinafiti kuwa mfano hapo ...... ??hizo tuzo uliona sehemu diamond au ay anspromote apigiwe kulaa hiyo walio shinda ni kama vile diamond kashindwa kuchukua tuzo ya killi music award na akachukua tuzo ya imani fm au times fm yaan hiyo tuzo ni ndogo
nna harakaChuki na akili hizi ndogo ndo tatizo la humu jukwaani, hata kuandika ni shida ...
Sio kulaa ni kura
Kuna mtu kaleta uzi umu eti kafurahi wabongo kutochukua zile za MTV MAMA hakipata habari hizi nadhani atabanwa na tumbo la kuarisha
kati ya watu wanne wewe mmojawapoBila shaka na wewe unajiita kuwa unaufahamu muziki,si ndio ............ Mshindi wa hiyo tuzo aliyopata DIAMOND anachukua $ 50,000 je, hizo takataka ulizozitolea mfano zinafiti kuwa mfano hapo ...... ??
$ 50,000 x tsh 2,200 = ....... Ni ndogo ......kama ni hivo nakubali niwemo.kati ya watu wanne wewe mmojawapo
Hamna tuzo za kitoto wewwhzo tuzo ni kama za kitoto vile
Zaidi ya milioni mia moja hizo, tuzo sio kitu kidogo kinakupa heshima na mkwanja,$ 50,000 x tsh 2,200 = ....... Ni ndogo ......kama ni hivo nakubali niwemo.
Mkuu haya mambo ya kusema mshindi wa tuzo anapewa hela mnapotosha watu, legend AY amesha clear utata, amesema ni tuzo za kilimanjaro pekee ndio zinazotoa mkwanja kwa mshindi wa tuzo, kwa tuzo zingine hakuna mkwanja ispokuwa kupitia hiyo tuzo msanii inamuongezea hadhi na gharama za kufanya showBila shaka na wewe unajiita kuwa unaufahamu muziki,si ndio ............ Mshindi wa hiyo tuzo aliyopata DIAMOND anachukua $ 50,000 je, hizo takataka ulizozitolea mfano zinafiti kuwa mfano hapo ...... ??
Mkuu mimi kuongea nawewe ni kujishushia hadhi yangu tu,ila nakupa home work. Trump kasema wewe ni NYANI, unatakiwa uendelee kutawaliwa je wewe unaonaje ......??Mkuu haya mambo ya kusema mshindi wa tuzo anapewa hela mnapotosha watu, legend AY amesha clear utata, amesema ni tuzo za kilimanjaro pekee ndio zinazotoa mkwanja kwa mshindi wa tuzo, kwa tuzo zingine hakuna mkwanja ispokuwa kupitia hiyo tuzo msanii inamuongezea hadhi na gharama za kufanya show
Mkuu mimi kuongea nawewe ni kujishushia hadhi yangu tu,ila nakupa home work. Triump kasema wewe ni NYANI, unatakiwa uendelee kutawaliwa je wewe unaonaje ......??
Duhhh kwahiyo ndo unakwepa kwa mtindo huo, me nilijua utakuja na proof kuwa kweli bro Simba anakula huo mkwanja hatimae unalala yombo bila ata kutoa proof, tatizo lenu mnafkli bado tupo zamani kipindi kile mnajiongelea tu na watu wana amini, yani umekaa tu ukaona ngoja nitaje dollar 50000 acha kutufanya si wajinga kijanaMkuu mimi kuongea nawewe ni kujishushia hadhi yangu tu,ila nakupa home work. Triump kasema wewe ni NYANI, unatakiwa uendelee kutawaliwa je wewe unaonaje ......??
Donald Trump ni mgombea wa urais U.S.ATrump ndo nani??