AY, Diamond, Harmonize na Dj D-Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani

Umeshindwa kuweka link ya hizo tuzo za AEAUSA, MTVMAMA na hata hizo KORA tuone walipoandika malipo ya washindi basi mkuu haina haja ya kuendelea ku-quotiana hapa maana maneno mengi ila unaruka ruka tu
Nisamehe bure,sikujua kama wewe ni katika wale 1/4.
 
Unaonesha ni jinsi gani umeshindwa kutetea hoja yako so kilichobaki ni kaonesha ujinga wako, kumbuka hapa sio kijiweni kijana usikalili, tatizo mnajifanya mnajua vitu vingi sana kumbe bogus tu.
 
NISAMEHE BURE,UALIMU NI KITU NILICHOKICHUKIA MAISHANI MWANGU NA NINAWAPA HONGERA WALIMU WOTE WA TZ,HASA UKIJUMLISHA NA ILE 1/4 BASI KAZI INAZIDI KUWA NGUMU.
 
Unaonesha ni jinsi gani umeshindwa kutetea hoja yako so kilichobaki ni kaonesha ujinga wako, kumbuka hapa sio kijiweni kijana usikalili, tatizo mnajifanya mnajua vitu vingi sana kumbe bogus tu.
Wacha tu iwe hivo,si kwa kichwa hiko. Bila shaka ukipelekwa kwenye vipimo vya ubongo wataona imejaa michanga tu.
 
Back
Top Bottom