mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,099
Tatizo stamina anaunga unga mno mistari
Anaunga unga? Wacha utani Mkuu.Mistari anayo itema NI professor Jay a.k.a Mh Haule
Ndio anaweza Sema yuko level ya juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo stamina anaunga unga mno mistari
AY kashapotea, anashauri wenzake wakati mwenyewe kashindwa kufanya anachoshauri...
Tutakuheshimu kama mmoja wa waliosogeza muziki wetu, lakini kwa sasa kubali matokeo.
ujaelewa mada.kamtosa swahiba wake FA..
Yeye kishasema Rapa Mkali hiyo Rapper anaejituma sema wewe.Rappa mkali sio ye aseme rappa anayejituma JOh makin
"George anarudi Bush"Iceman 3D
Rapa mkali Bongo NI STAMINA tu waliobakia
Wanapiga kelele tu.MoroTown a.k.a mji kasoro NI mkali sanaaaaa
Je Fid Q wa Fid.com(sisimizi kumuua tembo au nazi kuvunja jiwe) ndio huyu Fid Q wa Hiphop soft 'Walk it off' na 'Sumu'? Au ndio double standard?Naona wameamua kumuokoa joh makini na hili swala la mbeleko....Nani mwingine kuibuka kumtetea huyu BWANA!!
I love rap music I love it. Na zaidi napenda sana rap/hip hop musician akisimamia kile alichokiamini. As for Joh Makini yule wa "hao" sio huyu wa combo combo....kabadilishwa ili aje na hizi redio tracks....streams songz .....hapo ndio napomtoa kuwa among the best.
Fid Q will stay there coz he never change no matter what.
Joh anabebwaje Mkuu... Unaweza tueleza how!??Joh Makini ana bebwa, tuwe wa kweli, japo sina maana kuwa hana uwezo kabisa.
Unataka useme ngosha katoka 2006 au hapo hujaelewa nini..?Mkuu nadhani ww ndio ujamuelewa kama ni hivyo a ngetaja wasanii walioanza na John tu hasingemuweka ngosha maana niwa kitambo sana
Hawaji kujibu maswali... Mimi pia kuna swali nimemuuliza Iceman hapo..Unataka useme ngosha katoka 2006 au hapo hujaelewa nini..?
Anachomaanisha Ay... Tafuta Rappers wote walionza kuwa wasanii wakubwa kuanzia 2006~2017 halafu utaje hata mmija anayemzidi Joh kwa hits na consistency
Kabisa mkuuHivi msanii kama huyu anabebwaje..!?? Hizi chuki ni hatari aiseee..
Comment ya mwaka hii, kula likeNaona wameamua kumuokoa joh makini na hili swala la mbeleko....Nani mwingine kuibuka kumtetea huyu BWANA!!
I love rap music I love it. Na zaidi napenda sana rap/hip hop musician akisimamia kile alichokiamini. As for Joh Makini yule wa "hao" sio huyu wa combo combo....kabadilishwa ili aje na hizi redio tracks....streams songz .....hapo ndio napomtoa kuwa among the best.
Fid Q will stay there coz he never change no matter what.
yuko poa sanaHivi msanii kama huyu anabebwaje..!?? Hizi chuki ni hatari aiseee..
We mtoto si umeambiwa unapendwa..Mbona haumjibu kijana wa watuyuko poa sana
Kumfananisha Fid Q na Joh Makini ni sawa na wauza nguo, mmoja anauza famba kariakoo na mwingine ana goli kali la mtumba original, japo wote walianzia kwenye mtumba lakini mmoja akasanda akaingia kwenye kuuza midoshoJe Fid Q wa Fid.com(sisimizi kumuua tembo au nazi kuvunja jiwe) ndio huyu Fid Q wa Hiphop soft 'Walk it off' na 'Sumu'? Au ndio double standard?