AY: Hakuna Rapa mkali Tanzania zaidi ya Joh Makini

Ninamkubali Fid Q vilivyo..ila safi sana kwa Joh Makini. Hatari sana huyu!!
 
Kumfananisha Fid Q na Joh Makini ni sawa na wauza nguo, mmoja anauza famba kariakoo na mwingine ana goli kali la mtumba original, japo wote walianzia kwenye mtumba lakini mmoja akasanda akaingia kwenye kuuza midosho
Hongera kwa kuutumia vizuri uhuru wa kutoa maoni
 
Ila chidi asingekula lile vumbi la shetani basi hakuna ambaye angemshika
 
1.Magazeti,Radio,TV,Youtube,Blogs wanambeba Joh Makini ?

2.Wanambebaje ?

3.Na kwanini wambebe yeye ?

4.Hata wewe kumjadili hapa jukwaani si umembeba?
Hawawezi sema anabebwaje... Kuna watu wengine wasengerema sana.
 
Acha kuongea usivyovijua unazifahamu nyimbo za Fid kama Usinikubali Haraka na miaka ya nyuma amewahi kutoa ngoma ya Crank sasa kama hoja ni kubadilika basi ashawahi kubadilika labda wewe ndio hufuatilii.
 
Zote hizo kelele za kujifariji hakuna cha joh ..fid q wala stamina...habari ya mjini ni darasa ...ngoma yake inakunalika kila kona ya nchi ....hawa wengine wanabebwa tu....darasa ndo habari ya mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…