Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu usifanye hivyo kuna dada yangu anakupendaNtaenda kutafuta mke Rwanda, hapa bongo kila mtu ni mpiga dili.
Hii paragraph ya mwisho hayo maneno kayaongelea wapi..?View attachment 834326
AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye ramani
Umeambiwa USA na sio UlayaUlaya ulaya tu
Hizo fikra pia anazo FebruaryUnajivunia uraia wa marekani!!!!!??????
Bado fikira zetu zimeathiriwa na wakoloni
RPF duh!View attachment 834326
AY na mrembo wake toka RPF kigali wamefanikiwa kupata mtoto ambaye jina la ubatizo ataiwa AVIEL huku lile la nyumbani ataitwa Gwamaka kaihula (king crazy GK) kama shukrani ya jamaa kumuweka kwenye ramani
Sio kuuona hata kwa mbali?mtoto amezaliwa na uraia wa marekani safi sana....wengine hata mlango wa ubalozibwa marekani tu hatujawahi kuugusa😀
Umeambiwa USA na sio Ulaya