FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
AY anajielewa sio ma.vi ma.vi domondi
Ulikuwa na haja gani ya kuandika hivi...............?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AY anajielewa sio ma.vi ma.vi domondi
Mimi mwenyewe naendesha ndege ndogo. Mbona uku watoto wa miaka 15 wanaziendesha.
AY mngemuuliza vizuri labda yeye alimanisha kuendesha kwenye computer games.
Ila kila kitu kinawezekana
Hawa ndio wabongo bana, hawapendi maendeleo ya watu hata kidogo ni roho za kwanini tu zimetujaa. Mbona hizo ndege ndogo sio ishu au mmesahau hata BOB SAMBEKE ni Primary School lkn alikuwa na ndege yake na anaendesha mwenywe.
ndege ziko mpaka za sh.laki tano
Yako iko wap?
ndege ziko mpaka za sh.laki tano