AY kuvaa bendera ya KENYA kwenye video mpya imekaaje??

AY kuvaa bendera ya KENYA kwenye video mpya imekaaje??

aah bana kwan ufara tusi nalo ww afu pilipili usiyoila yakuwashia nini , we hujaona alivotudhihaki unaona langu tu, kasema watz wavivu , hilo si baya ila kumwita fara ndo tusi si ndio babi, we nawe uache ufara
 
mbona wa tz kibao wanaweka,vaa bendera ya marekan na mataifa mengine ya weupe na wanaonekana mjanja lkn waafrika tuna wivu na kutojikubal!
Poor brain washed!
 
Back
Top Bottom