AY kuzindua video ya Asante ndani ya club Tribeka Nairobi

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Bongo Flava rapper Ambwene Yessayah, popularly known as AY, is in Nairobi with his entire Mkasi TV crew.


Mkasi is a weekly TV entertainment programme that is aired on EATV and is co-owned by AY, TV presenter Salama Jabir and producer Josh Murunga, who are all in Nairobi.

"We are here, first of all, to look at possible business expansion as far as our show is concerned," AY told Chillax.

However, he will also be launching his new video Asante featuring Kenyan vocalist Dela, on Tuesday at Club Tribeka, during the weekly East Africa Wakilisha show.

AY was in Nairobi three weeks ago to shoot the same video.
 
Napenda mwanamuziki uwesimple, sio kuvaa minyororo shingoni, kutoboa masikio na pua na kujichorachora. Wapunguze kuiga Umarekani.
 
Kiukweli AY anajua kujitangaza kama lilivyo jina lake Mzee wa Commercial na hilo linamfanya afahamike na kupendwa zaidi akiwa nje. Lakini kwenye kuimba honestly kwa upande wangu jamaa hajui kuimba, i mean sijaona wimbo wake mzuri uliohit kiivyo zaidi alizoimba na patner wake FA ndo huwa zina hit kuliko zake binafsi.
 

Kwenye kuimbaa hajui kwa kwelii labda nyimbo moja tu ndio nzurii
 
Kwenye kuimbaa hajui kwa kwelii labda nyimbo moja tu ndio nzurii

Teh teh upi huo me wimbo wake pekee nilioupenda tangu aanze muziki hadi leo ni Binadamu aluomshirikisha Mourice Kilya wa Ug. Na zile anazoimbaga kwa mgongo wa mwana FA.
 
Jamani Ay kujitangaza kote huko habari yke jf ina comment 6 tu,kweli nabii hakubaliki kwao.
 

hajui kuimba wala kurap siku zote amekuwa akitegemea majina ya wasanii wenzie kumtoa ndio maana cku hiz kila msanii wa nje anaekuja lazma aforce kolabo...kolabo zimeshafka album but bado hazijamfundisha chochote..kwa kifup hajulikan tupo katika genre ip ya music...yeye kolabo tu haijalish msanii anaimba nn mrad anatoka nje bas fursa
 
Ingekuwa inahusu Diamond watu wangetoa maoni mpaka basiii[/QUOT
Naamini scandal zinasaidia kumpaisha mtu,jamaa hana scandal ndo maana watu hawana habari naye.Hivi mafunzo ya urubani ameshayamaliza huyu jamaa
 
[QUOT;9205726]Ingekuwa inahusu Diamond watu wangetoa maoni mpaka basiii[/QUOT
Naamini scandal zinasaidia kumpaisha mtu,jamaa hana scandal ndo maana watu hawana habari naye.Hivi mafunzo ya urubani ameshayamaliza huyu jamaa

Hata sijui labda ni mafunzo ya kitandani ndio hua hayana mwisho
 
Siku zote Ay atazid kuwa juu na pia ni moja ya wasanii wachache sana Tz ambao nyimbo zao zimeweza kuchezwa had MTV, Sizani kama kuna msanii hapa Tz anaweza kufikia level ya Ay kuanzia kujulikana kimataifa na hata kwa utajiri kama sikosei anashika #3 . Unayesema kwamba hajui kuimba sishangai sababu kila m2 kuna anachovutiwa napia unaposema hajui labda ungetoa na mapungufu yake kama angekuwa hajui asingeweza kuchukua tuzo kubwa za nje kama Chanel O na kufanya shoo nyingi nje...
 
Unajua ww mama una mambo,natamani nikuonage live ww bibie.

Unatamani unione ili unifanyeje na hutaniona labda mpaka niwe First lady lazima nijitangaze mie ndio Dinazarde wa jamii bila ya hivyo utaishia kunisoma humu tu hahhhhhhahha
 
Unatamani unione ili unifanyeje na hutaniona labda mpaka niwe First lady lazima nijitangaze mie ndio Dinazarde wa jamii bila ya hivyo utaishia kunisoma humu tu hahhhhhhahha
Nikubusu tu tena shavu la kushoto bibie.
 

Anajulikana nje sana kwasababu anajua sana kujitangaza thats good anatumia fursa yakuwa wasanii wengi wa bongo hawajitangazi nje wamebweteka na mafanikio yao hali inayofanya AY asiwe na competition sana kwenye soko la nje na awe na show nyingi au awanie tuzo nyingi za nje.. Ila kiuwezo binafsi wa kuimba sio mkali kiivyo ndo maana hata bongo nyimbo zake akitoa hazihit sana coz wapo wanaojua sana zaidi yake.


Mfano tu ukitaja wasanii wa Ug utataja Jose chameleone,Juliana, bebecool ila wapo wakali zaidi ya hao ila km hawatumii chance kijitangaza nan jata wajua?
Nani alijua Ghana kuna wasanii wa kali akina Iyanya,fusedog n.k unadhani walianza mziki tu ghafla? Kwa Ghana hao waliwajua kitambo na walikuwa wakali tu ila wamejitangaza ndo wakawajua sikazi wapo wengine wakali zaidi yao na wakifanya au wanafanya juhudi kujitangaza na tutawaona wanajua sana kuliko tunavyo dhan sasa Iyanya na fusedog tu ni wakali.

Na pia kwa Nigeria zamani tulikuwa tunajua Psquare na Dbanji na Jmartins tu niwakali kumbe wapo wengine wakali na wanaimba vizuri tu zaidi ya hao kama akina IcePrince Zamani na Davido..
 

Sizani kama kujitangaza halafu hujui kuimba unaweza kukubalika,
Kwa hapa Tz ni kuwa kuna tatizo la kubaniwa kwenye Media ndomana unakuta wasanii wanaoimba vitu vya mana wanabanwa tofauti na hawa wanaoimba nyimbo hazina hata vina lakini ndo wanaopewa promo.
Mf. Huyu Wanamuita sijui Dimpoz...Sioni anacho imba cha maana lakini wasanii kama Fidq,Stamina,na wengine wengi wanafichwa Ndo mana unakuta hao wanaopewa promo mrdia wanaishia hapa bongo huwasikii hatasiku moja wanashiriki Tuzo zanje ni wao na KTM za mpaka uhonge
 

ni bora angebaki na style yake ya zamani ile kwenye....nipe nikupe,binadamu,raha tu,safi hiyo....Ay alikua zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…