qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Sizani kama kujitangaza halafu hujui kuimba unaweza kukubalika,
Kwa hapa Tz ni kuwa kuna tatizo la kubaniwa kwenye Media ndomana unakuta wasanii wanaoimba vitu vya mana wanabanwa tofauti na hawa wanaoimba nyimbo hazina hata vina lakini ndo wanaopewa promo.
Mf. Huyu Wanamuita sijui Dimpoz...Sioni anacho imba cha maana lakini wasanii kama Fidq,Stamina,na wengine wengi wanafichwa Ndo mana unakuta hao wanaopewa promo mrdia wanaishia hapa bongo huwasikii hatasiku moja wanashiriki Tuzo zanje ni wao na KTM za mpaka uhonge
Unataka kusema AY anabaniwa ? Yo not serious mbona ile colabo walioimba na FA na Jmartins ilukuwa maarufu na kupigwa sana na ilitangazwa tangu wapo studio kwa Marco chali pale Mj records au iyo promo au kubaniwa na media gani? Na bila hizo media za bongo huko nje angepeleka nan angemjua? Alichokifanya AY hakina tofauti na alicho kifanya marehemu Kanumba r.i.p na anacho kifanya diamond na ommy dimpoz kwa sasa kama kujipendekeza na kutumia fursa kufanya collabo na wasanii wa nje ili wajulikane kama diamond alivyofanya na Davido na Ay alivyokuwa anafanya na Psquare. Jmartins n.k