AY kuzindua video ya Asante ndani ya club Tribeka Nairobi


Unataka kusema AY anabaniwa ? Yo not serious mbona ile colabo walioimba na FA na Jmartins ilukuwa maarufu na kupigwa sana na ilitangazwa tangu wapo studio kwa Marco chali pale Mj records au iyo promo au kubaniwa na media gani? Na bila hizo media za bongo huko nje angepeleka nan angemjua? Alichokifanya AY hakina tofauti na alicho kifanya marehemu Kanumba r.i.p na anacho kifanya diamond na ommy dimpoz kwa sasa kama kujipendekeza na kutumia fursa kufanya collabo na wasanii wa nje ili wajulikane kama diamond alivyofanya na Davido na Ay alivyokuwa anafanya na Psquare. Jmartins n.k
 


go AY go...
Acha hawa mazezeta akina Juma Nature waendelee kunywa Banana Wine na kuvuta bange tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…