njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 227
Acha U.sengerema Wewe.
huyu ni msengeee nyaji sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha U.sengerema Wewe.
kama ulikua hujui nakupenyezea hii taratiiiibu kwamba msaani maarufu A.Y.ndie anaekimiliki kile kipindi matata cha MKASI.kinachoendeshwa na salama jabir.
Acha U.sengerema Wewe.
Umesahau kuuliza na usafiri aliokuja nao gari ya ng'o mbe au kufuata mdundiko hadi dar?
Yaani umetia aibu, inawezekana wewe ni mtanzania pekee ambaye bado ulikuwa hujalijua hilo
kwani watu wa mpitimbi wako? au ndio wale wanao waamkia kuku?
Njia panda cha clouds fm ni cha nani?
mkuu katoka itumbandyosi huyu sio bureumetokea ruvuma mpitimbi nini
Alianzisha Dr. Sebastian Ndege kama nakumbukumbu vizuri ambaye kwa sasa ndo mwenye Jembe Fm, Jembe ni Jembe hotel na jembe ni jembe band na skylight band pia