Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Hivi Mwanangu unadhani siasa ni kitu rahisi eeh? š¤£š¤£š¤£AY na yeye ingefaa sana akagombee ubunge kwao wakutane bunguni kama waheshimiwa na mshua wake huyo, game lao HII LEO lilibamba sana enzi zile, bila kumsahau mwanakikundi King Crazy GK
Mtu uenyekiti serikali za mitaa anamtoa kafara Mama yake.