AY na yeye ingefaa sana akagombee ubunge kwao wakutane bunguni kama waheshimiwa na mshua wake huyo, game lao HII LEO lilibamba sana enzi zile, bila kumsahau mwanakikundi King Crazy GK
Mwana FA na AY waligombana baada ya FA kuajiriwa na kitengo idara pendwa ya jengo la mwewe. AY akamuona huyu tayari kashakula shavu ukudani kwa wakuda. Alamsiki.