King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Tenda wema nenda zako........
PERIOD
Tenda Mema usingoje shukrani cheka na watu wotee muzamil katunzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenda wema nenda zako........
PERIOD
Karudi kwao arusha......
thubutuuuuu
Atakua kijenge kwao twn wa2 washamaliza yao mtoto hana uchoyo
Aiseeee
Ndiyo hvyo mtoto hana choyo
Feza yuko botswana anakula jihogo atamkumbuka kweli AY
Hata wewe pia.......???
Wewe nifah ntake radhi mimi n mapepe huyo wapi n wapi.dogo ndio alikua hpo akaona presha inakaribia akasepe
Hahahaahaaa nisingekuuliza ningejulia wapi haya?
Mtoto ana damu y kimbulu kunyima ki2 m2 anaona aibu
Mhhh,hatari hiyo!Ila ni mzuri kiukweli
Naskia jina l kessy anatumia 2 saida ndio kessy huyu n kska yke teja wana baba zao
Kwa hiyo ni like a daughter like a mother?
👍yani n shida kaka teja balaa nw maza soko gumu umri umeshamtupa
Vipi lakini wako njema?Maana yule mdada anaringa sana
Nop kawaida 2 mboga 4 maza kachoka mda saida anafamilia yke,bro yeye mzee w kubembea n bwii
Duh!Mtu akiwa hapa mjini anaringa kumbe hamna kitu!