Aya 2 za mwisho za suratil Baqarah, kwa ulinzi na Kinga wakati wa kulala.

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala.
Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah.

Kama unawatoto ambao wamenyanyukia jitahidi uwahifadhishe wawe wanazisoma Kila siku kabla ya kulala.
Screenshot_20241212-172406.jpg
View attachment 3175277
 
Attachments

  • Screenshot_20241212-172406.jpg
    Screenshot_20241212-172406.jpg
    378.2 KB · Views: 6
Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala.
Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah.

Kama unawatoto ambao wamenyanyukia jitahidi uwahifadhishe wawe wanazisoma Kila siku kabla ya kulala.
View attachment 3175276View attachment 3175277
Ayat Qurusiyu inahimiza Tawheed ukiwa na Tawheed uchawi mawazo ya kisheitani yataondoka........bila kuswali swala tano hamna chochote mkuu.
 
Ni sawa, ila hizo pia zimehimizwa katika ulinzi nyakati za kulala. Usilale bila kuzisoma.
 
Hakuna kitu hapo zaidi ya kumnufaisha mwarabu na Tamaduni zake.
 
Ni sawa, ila hizo pia zimehimizwa katika ulinzi nyakati za kulala. Usilale bila kuzisoma.
Muhimu ni kuswali swala tano kusoma ni yaziada hamna shetani wakufuata mtu anae swali mara tano kwasiku
 
Mmh!! Basi ingekuwa swala pekee inatosha kusingekuwa na adhkar za asubuhi na jioni , na mtume ( swalallahu alayhi wasalam) asingesisitiza isomwe kabla ya kulala.
 
Back
Top Bottom