Ayat Qurusiyu inahimiza Tawheed ukiwa na Tawheed uchawi mawazo ya kisheitani yataondoka........bila kuswali swala tano hamna chochote mkuu.Aya hizi ni muhimu sana kwa Muislamu kuzisoma pindi anapotaka kulala.
Huleta ulinzi na Kinga dhidi ya Shari za usiku za mashetwani, majini na watu biidhnillah.
Kama unawatoto ambao wamenyanyukia jitahidi uwahifadhishe wawe wanazisoma Kila siku kabla ya kulala.
View attachment 3175276View attachment 3175277
Muhimu ni kuswali swala tano kusoma ni yaziada hamna shetani wakufuata mtu anae swali mara tano kwasikuNi sawa, ila hizo pia zimehimizwa katika ulinzi nyakati za kulala. Usilale bila kuzisoma.
Mmh!! Basi ingekuwa swala pekee inatosha kusingekuwa na adhkar za asubuhi na jioni , na mtume ( swalallahu alayhi wasalam) asingesisitiza isomwe kabla ya kulala.Muhimu ni kuswali swala tano kusoma ni yaziada hamna shetani wakufuata mtu anae swali mara tano kwasiku