Car4Sale Aya chuma hiyo inauzwa mafuta kisoda cc 600

Kupanda mafuta watu wameanza kuzipaki tunapanda nao daladala.gari linatumika kama linaenda kuingiza hela ya maana.
 
Kwani moja ya sifa ya kununua gari ni kusema ilikuwa ya mdada?
So ukishaweka hiyo sifa maana yake nini?
Kwamba mteja atavutika kununua gari kisa ya mdada?
 
Inaaminika wadada ni watunzaji, wanajali services, sio waenda rough. Kuna terms kadhaa, gari ya mdada, muhindi, mzungu na ilikuwa inafanya trip ya kazini na nyumbani(kazini Posta, nyumbani upanga)
 
Madalali ndvyo walivyo..ila ujanja kuipeleka kwa fundi ikakaguliwe vilivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom