ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 996
- 745
Nunua trey10 za mayai chemsha zungusha mjin maeneo karib au ndan ya stand,
trey10 ni sawa na mayai mia3
uza sh mia3 kila moja
Faida 300x300 toa elf50 =elf40
ukiweza pata vijana na kuza tray10 kila siku then mwez mmoja una faida ghafi mil1.2
weka vyeti pemben ingia mtaani
trey10 ni sawa na mayai mia3
uza sh mia3 kila moja
Faida 300x300 toa elf50 =elf40
ukiweza pata vijana na kuza tray10 kila siku then mwez mmoja una faida ghafi mil1.2
weka vyeti pemben ingia mtaani