kaka, elf 50 kwa mayai 300? ina maana kila moja umenunua kwa 167 au tuseme 5000 kwa tray? wap wanauza kwa bei rahisi tray ya mayai hivyo?
otherwise wazo lako ni zuri kufikirisha kichwa, hata kama hutauza tray 10 per day bado faida ipo
utawalipa bei gani hao vijana?, mayai itachemsha kwa gas, kuni au mkaa?. basi toa hapo kwenye 4000 halafu itakayo baki zidisha kwa 30 upate faida yako kwa mwezi. mia
Haya mambo ndo yanafanya nchi yetu istoke ilipo.wazo kwa kulisoma ni zuri lakin alitekelezeki!dah pamoja na kuangaika na hii elimu kwa zaidi ya miaka 15 leo hii naambiwa niweke vyeti chni niingie mtaani!nachka sasa.kuna ulazima wa kubdili mfumo wa elimu yetu kama ndo hvo hautusaidii tuliowengi.
utawalipa bei gani hao vijana?, mayai itachemsha kwa gas, kuni au mkaa?. basi toa hapo kwenye 4000 halafu itakayo baki zidisha kwa 30 upate faida yako kwa mwezi. mia